img Leseprobe Leseprobe

Karamu Mbinguni

Njiru Kimunyi

EPUB
ca. 15,99
Amazon iTunes Thalia.de Weltbild.de Hugendubel Bücher.de ebook.de kobo Osiander Google Books Barnes&Noble bol.com Legimi yourbook.shop Kulturkaufhaus ebooks-center.de
* Affiliatelinks/Werbelinks
Hinweis: Affiliatelinks/Werbelinks
Links auf reinlesen.de sind sogenannte Affiliate-Links. Wenn du auf so einen Affiliate-Link klickst und über diesen Link einkaufst, bekommt reinlesen.de von dem betreffenden Online-Shop oder Anbieter eine Provision. Für dich verändert sich der Preis nicht.

Phoenix Publishers img Link Publisher

Kinder- und Jugendbücher / Jugendbücher ab 12 Jahre

Beschreibung

Kutokana na sifa zao njema kwake Mwenyezi Mungu, ndege wamepata mwaliko wa kutalii mbinguni. Wamepewa uwezo wa kuyabadilisha maumbile yao vile wanavyotaka. Katika kufanya hivi, wengine kama Bundi wanaongozwa na nia mbaya. Mzee Kobe naye anadanganya kuwa ukoo wake ulitokana na ndege. Kwa wale wenye nia safi, karamu ya mbinguni inaishia kuwa furaha isiyo kimo. Wenye nia mbaya nao wanaupata mshahara wa vitendo vyao. Chongameno ni kijana mchungaji aliyejaaliwa haiba ya mwili na roho. Alice ni msichana aliyezaliwa katika mali na anasa. Lakini pendo halitambui tabaka, na Alice anampenda Chongameno. Juhudi za kulitoroka pendo hili zinaishia katika balaa kwa wote wawili. Hii ni hadithi iliyofumwa kitaalamu na mmoja wa waandishi walioheshimika sana katika Afrika ya Mashariki.

Weitere Titel von diesem Autor

Kundenbewertungen

Schlagwörter

tamthiliya, tukio, novella, teen, kitabu, kuja kwa umri, action, siri, mystery, coming of age, book, kijana mzima, kijana, novela, kitendo, adventure, dragon, ya drama, drama, joka, fiction, mchezo wa kuigiza, young adult