img Leseprobe Leseprobe

Kwa Nini Mtoto wa Mchungaji Alikataa Kuenda Kanisani

Grace Zuzo

EPUB
ca. 8,49
Amazon iTunes Thalia.de Weltbild.de Hugendubel Bücher.de ebook.de kobo Osiander Google Books Barnes&Noble bol.com Legimi yourbook.shop Kulturkaufhaus ebooks-center.de
* Affiliatelinks/Werbelinks
Hinweis: Affiliatelinks/Werbelinks
Links auf reinlesen.de sind sogenannte Affiliate-Links. Wenn du auf so einen Affiliate-Link klickst und über diesen Link einkaufst, bekommt reinlesen.de von dem betreffenden Online-Shop oder Anbieter eine Provision. Für dich verändert sich der Preis nicht.

Grace Zuzo's books img Link Publisher

Kinder- und Jugendbücher / Religion, Philosophie, Psychologie

Beschreibung

Chuaro alilelewa katika eneo la mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini. Kwa masomo yake ya shule ya upili, alihudhuria shule ya bweni katika kijji cha Transkei ambapo watu waliishi maisha ya kizamani. Yeye na marafiki zake walifikiri wasichana katika maeneo hayo ya mashambani walikuwa wajinga kwa sababu hawakuvaa kama wao na walisumbuka zaidi kwamba wasichana hawakufunika matiti yao. Jumamosi moja alasiri walipokuwa wakitembea, walikutana na wasichana wa mashambani na kuwauliza kwa nini hawakuvaa sidiria au blauzi. Wakati huohuo, wasichana wa jiji walijifunza kwa njia ngumu kwamba hawa wasichana wa vijijini walikuwa na akili sana, na kuwafanya watilie shaka akili zao wenyewe.

Weitere Titel in dieser Kategorie

Kundenbewertungen

Schlagwörter

hadithi ya somo kwa watoto, Kitabu cha watoto cha miaka 9-16, Shule, kitabu cha watoto cha miaka 9-16, kitabu cha watoto, Rafiki, kitabu cha watoto kwa Wasichana